LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 11, 2017

MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA NJIA YA MSALABA KATIKA KANISA KUU LA KATOLIKI LA MTAKATIFU PAULO WA MSALABA MJINI DODOMA

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine kupokea Ekaristi  Takatifu wakati wa misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Ijumaa Machi 10, 2017
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine katika misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Ijumaa Machi 10, 2017
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine katika misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma, Ijumaa Machi 10, 2017
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitakiana amani na watawa wakati wa  misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma, Ijumaa Machi 10, 2017
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine kupokea Ekaristi  Takatifu wakati wa misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma, Ijumaa Machi 10, 2017

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages