KATIBU IDARA YA OGANAIZESHENI CCM PERREIRA AME SILIMA AKABIDHIWA OFISI RASMI,LEO OFISI NDOGO CCM LUMUMBA DAR ES SALAAM.

Aliyekuwa Katibu wa Idara ya Organization Chama Cha Mapinduzi Mohammed Seif Khatib akizungumza wakati wa Makabidhiano ya Kiofisi na Katibu Mpya Idara ya Organization CCM ndg:Perreira Ame Silima,Leo Ofisi ndogo ya CCM Lumumba.
Katibu Idara ya Organization  CCM Ndg:Perreira Ame Silima akisain Hati ya Makabidhiano ya Vifaa mali, na Majukumu ya Chama Idara Ya Organaizeshen uku Maafsa wa chama wakishuhudia Zoez hilo,Leo Ofisi ndogo ya CCM Lumumba.
 Katibu Idara ya Organization  CCM Ndg:Perreira Ame Silima wa kwanza kushoto akikabidhiwa Hati ya Makabidhiano ya Vifaa mali, na Majukumu ya Chama Idara Ya Organaizeshen  na Ndg:Mohammed Seif Khatibu aliyekuwa  Katibu Idara ya Organization  CCM uku Kaimu Mkuu wa Idara ya Organaizeshen na Siasa UVCCM TAIFA Ndg:Pili Agustino akishuhudia Makabidhiano hayo,Leo Ofisi ndogo ya CCM Lumumba.
  Katibu Idara ya Organization  CCM Ndg:Perreira Ame Silima wa kwanza kushoto akikabidhiwa Kanuni za Chumuiya za Chama  na Ndg:Mohammed Seif Khatibu aliyekuwa  Katibu Idara ya Organization  CCM uku Kaimu Mkuu wa Idara ya Organaizeshen na Siasa UVCCM TAIFA Ndg:Pili Agustino akishuhudia Makabidhiano hayo,Leo Ofisi ndogo ya CCM Lumumba.
 Katibu Idara ya Organization  CCM Ndg:Perreira Ame Silima wa kwanza kushoto Akikabidhiwa Funguo  na Ndg:Mohammed Seif Khatibu aliyekuwa  Katibu Idara ya Organization  CCM uku Kaimu Mkuu wa Idara ya Organaizeshen na Siasa UVCCM TAIFA Ndg:Pili Agustino akishuhudia Makabidhiano hayo,Leo Ofisi ndogo ya CCM Lumumba.
picha ya pamoja  Katibu Idara ya Organization  CCM Ndg:Perreira Ame Silima wa kwanza kushoto na Ndg:Mohammed Seif Khatibu aliyekuwa  Katibu Idara ya Organization  CCM(PICHA ZOTE NA FAHADY SIRAJI )