Saturday, March 11, 2017

DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, leo mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Dk Ali Mohamed Shein na Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, leo mjini Dodoma.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein wakati akiongoza kikao cha HalmashauriKuu ya CCM leo mjini Dodoma
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akifurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein wakati akiongoza kikao cha HalmashauriKuu ya CCM leo mjini Dodoma
 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiteta jambo a Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Adam Kimbisa
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, William Lkuvi akimsaimia Mke wa rais Mstaafu Mama salma Kikwete katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM leo mjini Dodoma
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk JohnMagufuli akijadili jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana wakati wa Kikaocha Halmashauri Kuu ya CCM leo mjini Dodoma
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.