WAZIRI MKUU MAJALIWA AMBEMBELEA NYUMBANI MZEE MALECELA LEO

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimsalimia Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela alipofika kumtembelea nyumbani kwake, Kilimani mkoani Dodoma leo
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na Mzee Malecela, alipoenda kumtembelea nyumbani kwake, Kilimani mjini Dodoma leo
Wakiagana kabla ya Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa kuondoka nyumbani kwa Mzee Malecela. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU