Thursday, February 2, 2017

TAWI LA CCM OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU YA CCM, LUMUMBA, WAADHIMISHA MIAKA 40 YA CCM KWA KUTOA MSAADA KITUO CHA WATOTO KURASINI

 Mwenyekiti wa CCM, tawi la Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, Innocent Pilla, akimkabidhi zawadi mkuu wa kituo cha kulea watoto cha Kurasini Dar es Salaam, Beatrice Mugumilo, jana, wakati wakati viongozi na wanachama waa CCM wa tawi hilo, walipokwenda kufanya usafi na kutoa zawadi mbalimbali kwa kituo hicho ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40ya kuzaliwa kwa CCM, ambayo kilele chake kitakuwa Februari 5, mwaka huu
Mwenyekiti wa CCM Tawi la Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, Innocent Pilla na Katibu Msaidizi Mkuu, Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu-CCM, Debora Charles wakifanya usafi kwenye kituo hicho. PICHA ZAIDI/>BOFYA HAPA
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.