Sunday, February 5, 2017

MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA CCM YATIA FORA IKUNGI

Kaimu katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akipokelewa na Mwennyekiti wa CCM Wilaya ya Ikungi Ndg: Hassan Tate mara baada ya kuwasili katika Sherehe za Maadhmisho ya Miaka 40 ya CCM

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akikabidhi ahadi yake ya kuchangia Mifuko 100 ya Simenti kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya kijiji cha mpetu kata ya muntiri kwa diwani wa Viti Maalum Tarafa ya ihanja Wilaya ya Ikungi Bi;Theresia Nkui
Kaimu katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka  akishiriki shughuli za Ufya tuaji wa matofali katika Ujenzi wa Ofisi ya CCM wilaya ya Ikungi mkoani Singida katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 40 ya kuzaliwa kwa CCM
Kaimu Katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akipanda mti katika kiwanja cha CCM wilaya Ikungi Mkoani Singida wa Nne kushoto ni Mhe DC wa Wilaya hiyo Miraji jumanne Mtaturu
Kaimu Katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa kwanza kulia akizungumza jambo na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu alipofika katika Maadhimisho ya Miaka 40 ya kuzaliwa kwa CCM
 Kaimu Katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akishiriki katika Ujenzi wa  madarasa katika Shule ya Msingi Unyaghumpi
  Kaimu Katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akishiriki Zoezi la Uwezekaji wa Mabati katika Choo Cha waalimu Shule ya Msingi Unyaghumpi Wilayani Ikungi
  Kaimu Katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akigawa Bendera Kwa Mabalozi na Makatibu wa Matawi Mbali mbali katika wilaya ya Ikungi  katika Sherehe za kuadhimisha Miaka 40 ya kuzaliwa kwa CCM
 Kaimu Katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akishiriki Zoezi la Uwezekaji wa Mabati katika Choo Cha waalimu Shule ya Msingi Unyaghumpi Wilayani Ikungi

picha na Fahadi Siraji UVCCM

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.