KATIBU WA NEC IDARA YA SIASA NA UHUSIANO WA KIMATAIFA CCM KANAL MSTAAFU NGEMELA LUBINGA ATEMBELEA UVCCM OFISI NDOGO DAR ES SALAAM LEO.


 Katibu wa NEC  Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ofisi Ndogo Makao Makuu ya UVCCM Taifa.
 Kaimu katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa pili kulia akimuonyesha ofisi mbalimbali Katibu wa NEC  Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga mara baada ya kuwasili Ofisi Ndogo Makao Makuu ya UVCCM Taifa
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akitoa ufafanuzi na kumkaribisha Katibu wa NEC  Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga kuzungumza na wajumbe Wa Sekretariet Ya UVCCM TAIFA pamoja na wafanyakazi Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
 Viongozi Wakimsikiliza kwa makini
 Mkuu wa Utawala UVCCM Taifa Omary ng'wanangwalu akimsikiliza Katibu wa NEC  Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga
  Katibu wa NEC  Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akizungumza Wajumbe Sekretariet Ya UVCCM TAIFA pamoja na wafanyakazi Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
 picha ya Pamoja ya Katibu wa NEC  Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga pamoja na Wajumbe wa Sekretariet Ya UVCCM TAIFA Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.

 Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Taifa Shaka Hamdu Shaka akizungumza jambo na  Katibu wa NEC  Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga Ofisi ndogo  Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.

 Naibu Katibu UVCCM Bara Ndg:Mfaume kizingo akiagana na Katibu wa NEC  Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga  Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.

wajumbe wa Sekretariet ya UVCCM Taifa wakimuaga Katibu wa NEC  Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga  Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam. Picha zote na Fahady Siraji

0 comments:

Post a Comment

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.