WANAFUNZI CHUO CHA TUMAINI WAFANYA ZIARA KATIKA HOSPITALI YA PALESTINA, SINZA


 
 Afisa Muuguzi wa Hospitali ya Palestina, Sinza
Aliho Ngerageza (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa wanafunzi wa Shahada ya Mawasiliano ya Umma mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Tumaini Tawi la Dar  es Salaam (Tudarco), kwa ajili ya wanawake na watoto waliolazwa hospitalini hapo anaekabidhi ni Enock Bwigane  na katikati ni Mhadhiri wa somo hilo katika chuo hicho, Mary Kafyome.
  
 Wanaochangia damu  wa kwanza kushoto ni Marietha Tairo na Ole Kimosa,aliyesimama ni nesi akisaidia kufanikisha zoezi hilo. HABARI NA PICHA ZAIDI/>BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.