Saturday, January 28, 2017

VIJANA WA CCM WILAYA YA MBEYA MJINI WAADHIMISHA MIAKA 40 YA CHAMA CHA MAPINDUZI JIJINI MBEYA..

Vijana wa chama cha mapinduzi (Uvccm) Wilaya ya Mbeya mjini waadhimisha mika 40 ya chama cha mapinduzi Ccm kwa kufanya maandamano ya amani kutoka ofisi za Ccm Mkoa wa Mbeya mpaka eneo la Kabwe na kupanda Miti wakiongozwa na mkuu wa Wilaya ya Mbeya mjini Mh.William Ntinika ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Mbeya mjini.Picha zote na Mr.Pengo Mmg Mbeya.
 Mkuu wa wilaya ya Mbeya mjini Mh.William Ntinika ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Mbeya mjini akizungumza na baadhi ya vijana wa chama Cha mapinduzi ccm eneo la kabwe mara baada ya kumaliza zoezi la kupanda miti katika eneo hilo la Kabwe.
Mwenyekiti wa Vijana (Uvccm) Ndugu Malanyingi Matukuta nae akizungumza jambo katika maadhimisho ya kilele cha chama cha mapinduzi kutimiza miaka 40 yanayo tarajia kufanyika kitaifa tarehe 5, ya mwezi wa pili Mjini Dodoma.
Katibu wa (Uvccm) wilaya ya Mbeya Mjini.Jeradi Kinawile nae akizungumza machache kwa wanachama wa ccm wilaya ya Mbeya mjini.
 mkuu wa wilaya ya mbeya mjini Mh.William Ntinika ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa wilaya ya mbeya mjini akipanda mti eneo la kabwe jijini Mbeya.Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.