UJUMBE WA IDARA YA SIASA NA UHUSIANO WA KIMATAIFA MAKAO MAKUU YA CCM WAKUTANA NA BALOZI WA CHINA LEO

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM anayesimamia Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Kanali Mstaafu, Gemela Lubinza na Ujumbe wake wakiwa na Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Young alipoenda katika Ofisi za Ubalozi huo jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi. Kulia ni Katibu Msaidizi Mkuu (SUKI)Juliana Chitinka na kushoto ni Katibu Msaidizi katika Idara hiyo,  Daniel George.(Picha kwa hisani ya Ubalozi wa China)

0 comments:

Post a Comment

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.