TRUMP AAHIDI KUIPAISHA MAREKANI KATIKA UBORA WAKE

media
Katika hotuba yake, Donald Trump (Pichani) ameahadi, kama katika kampeni yake ya uchaguzi "kuifanya Marekani kuwa ni nchi yenye nguvu zaidi. "

Donald Trump ameapishwa Jana Ijumaa, Januari 20 akiwa rais 45 wa Marekani katika sherehe iliofanyika katika majengo makuu ya Bunge la Congress, Capitol Hill saa 05:46 saa za Washington (sawa na saa 01:46 jioni saa za Afrika ya Mashariki). Inaendelea/>BOFYA