Thursday, January 26, 2017

SHAKA AONGOZA MAMIA KUMZIKA ALLY NASRI MASASI MKOANI MTWARA

 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka pamoja na Vijana na Viongozi mbali mbali wa Chama Wakibeba Mwili wa Marehemu Ally Seleman aliyekuwa Katibu wa UVCCM Wilaya ya Ludewa
 Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akisain kitabu cha wageni alipowasili katika ofisi za CCM Wilayan Masasi
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka ,akimfariji Mzee Suleiman Nasr,Baba Mzazi wa aliyekuwa katibu wa Umoja Wa Vijana wa CCM Wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe, Ali Nasri aliyefariki juzi na kuzikwa jana Masasi Mkoa wa Mtwara.
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akishiriki akiwa katika kisomo cha pamoja na wanazuoni mbalimbali Wilayan Masasi Mkoa wa Mtwara
 Shekh Mkuu wa Mkoa wa Lindi Al Hajj Mohammed Said Mshangani akitoa Mawaidha msibani  kwa Viongozi mbali mbali na wananchi Wilayani Masasi.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa Tano kushoto akiwa pamoja na viongozi wa Dini ya kiislamu na Wananchi mbalimbali Wilayani masasi wakisoma dua  Mara baada ya Kuhifadhi mwili wa Marehemu Ally Nasri aliyekuwa katibu wa UVCCM wilaya ya Ludewa katika makaburi ya Masasi.
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.