Thursday, January 12, 2017

RAIS DK MAGUFULI NA RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN WAUNGURUMA VIWANJA TOFAUTI KILELE CHA MIAKA 53 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar  Dk. Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya heshma ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi katika  sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan
Viongozi  mbalimbali wakiwa kwenye sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan
Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan 
Kikosi cha Askari wa Polisi wa Zamani (Tarbush) wakionesha Gwaride lao wakati wa sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu
MKikosi cha Makomandoo wakionesha ukakamavu wao katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Makomandoo wa Jeshi la  Wananchi wa Tanzania JWTZ walipoonesha ukakamavu wao kwa kuvuta Gari kama wanavyoonekanwa katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan, ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan,zilizohudhuriwa na Viongozi mbali mbali
Rais Dk. John Magufuli akipunga mkono kuwasalimia wananchi wa Shinyanga waliofika katika uwanja wa mpira wa Kambarage katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar mkoani humo
Rais Dk. John Magufuli akiwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Kambarage mkoani humo
Rais Dk. John Magufuli akielekea kuwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Kambarage mkoani humo.
Rais Dk. John Magufuli akiwapungia mkono Kwaya ya KKKT Shinyanga mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga. PICHA NA IKULU
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.