Friday, January 13, 2017

RAIS DK MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VIWILI SHINYANGA LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kwenye jiwe la ufunguzi wa kiwanda hicho cha kutengeneza mifuko ya Sandarusi cha Fresho Investment Compaany limited cha Mkoani Shinyanga. Kulia ni mmiliki wa Kiwanda hicho Fred Shoo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mmiliki wa wa kiwanda hicho cha Fresho,  Fred Shoo kuhusu malighafi ya kutengenezea mifuko ya Sandarusi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia moja ya hatua ya utengenezaaji wa mifuko ya Sandarusi katika kiwanda hicho cha Fresho mkoani Shinyanga
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia moja ya hatua za mwisho katika utengenezaaji wa mifuko ya Sandarusi katika kiwanda hicho cha Fresho mkoani Shinyanga
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia na kukagua  utendaji kazi wa maabara ya kiwanda hicho cha kutengeneza mifuko ya Sandarausi mkoani Shinyanga.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amechuchumaa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa Kiwanda hicho cha Kutengeneza mifuko ya Sandarusi mkoani Shinyanga.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Salum Hamis Mbuzi mmiliki wa Kiwanda cha kutengeneza Vinywaji cha Jambo food product mara bada ya kukizindua mkoani Shinyanga.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Kiwanda cha kutengeneza vinywaji cha Jambo food product mara bada ya kukizindua mkoani Shinyanga.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo kutoka kwa mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza vinywaji cha Jambo food product  Salum Hamis Mbuzi mara bada ya kukizindua mkoani Shinyanga.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwagawia vinywaji viongozi mbalimbali wa dini mara baada ya kuzindua kiwanda hicho mkoani Shinyanga
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwagawia vinywaji wanakikundi cha ngoma za asili cha mkoani Shinyanga mara baada ya kuzindua kiwanda hicho cha Vinywaji mkoani Shinyanga
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia kwa kuwapungia mkono wakazi wa Igunga mkaoni Tabora. PICHA NA IKULU

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.