RAIS DK. MAGUFULI AFUNGUA RASMI AWAMU YA KWANZA YA MIUNDOMBINU NA UTOAJI HUDUMA YA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Dk. John Magufuli akipungia mkono na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, Makhtar Diop wakiwa katika basi linalotumika katika utoaji huduma ya Usafiri wa Haraka(BRT), baada ya kukagua basi hilo, alipokuwa akizindua rasmi awamu ya kwanza ya usafiri huo, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Ikulu. PICHA NYINGI/>BOFYA HAPA