LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 11, 2017

RAIS DK MAGUFULI AENDA MKOANI SIMIYU KUZINDUA BARABARA YA BARIADI-LAMADI LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Kisesa mkoani Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli mara baada ya kushuka kwenye kivuko cha Mv Misungwi wakati akitokea Chato mkoani Geita. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages