Sunday, January 8, 2017

MJUMBE WA HALIMASHAURI KUU CCM NA M-NEC WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA(MB) AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM MKOA WA RUVUMA KATIKA OFISI CCM MKOA WA RUVUMA

Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM na MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB) akingalia burudani ya ngoma ya Mganda ambayo ilikuwa imeandaliwa kwa ajili ya kumkaribisha katika ofisi ya CCM Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya kuzungumza na Viongozi wa CCM Mkoa wa Ruvuma
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCMna MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB)amemkabidhi kadi ya CCM Bwana Musa Ndomba ambaye amerudi CCM mwanzo alikuwa mwana chama wa Chadema na Diwani wa Kata ya Tanga manispa ya songea na mwenyekiti wa wawanafunzi katika chuo kikuu cha mtakatifu John kilichopo Songea shughuli hiyo imefanyika katika ukumbi wa ccm mkoa wa Ruvuma
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCMna MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB)akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya CCM Mkoa wa Ruvuma wakatialipofika hapo kwa ajili ya kuongea na viongozi wa ccm mkoa wa Ruvuma kushoto ni Mwenyekiti CCM mkoa wa Ruvuma Bwana Oddo Mwisho na anaye fuatia ni katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma Verena Shumbusho 
Majaliwa akikabidhi kadi kwa mwanachama mpya wa CCM
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM na MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB)akizungzumza na viongozi wa CCM mkoa wa Ruvuma katika ukumbi wa CCM Mkoani Ruvuma Waziri Mkuu yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi
Picha na Chris Mfinanga
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.