DK.SHEIN AWAAPISHA DK. MAUA DAFTARI NA RAHMA ALLY KHAMIS, LEO

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk. Mauwa Abeid Daftari  kuwa Msahauri wa Rais katika masuala ya Pemba katika hafla iliyofanyika leo Ikulu MjinI Unguja.
Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Rahma Ali Khamis  kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya  Rais, katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.(Picha na Ikulu, Zanzibar