Sunday, December 18, 2016

ZIARA YA HAMDU SHAKA MKOANI KAGERA

 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) Akiwasili na Kulakiwa na Viongozi Wa Chama na Serikali Mkoani Kagera katika kijiji cha Kahina Mpakani mwa Mkoa wa Geita nA Kagera.
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akisalimiana na Mhe:Mkuu Wa Wilaya ya Biharamulo Bi Saada Malinde
 Mkuu Wa Wilaya ya Biharamulo Bi Saada Malinde akimkabidhi Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)katika kikao cha ndani 

 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC akielekea kukutana na Wana CCM Wilayani Biharamulo 
 Mwenyekiti Wa UVCCM Yahya akizungumza  katika mkutano wa Diwani wa kata ya Nembe na Wananchi 
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) Pamoja na Diwani wa kwanza Kushoto akigawa kadi 115 Kwa wanachama Wa CCM UVCCM na WAZAZI Pia ameweza kukaribisha wanacha 30 kutoka Chadema 
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC Akinywa Maji mara Baada ya kukagua Mradi wa Maji katika kata ya NYANTANGARA
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC)akizungumza na Wajasiliali wadogo wadogo katika kata ya NEMBA
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC)akizindua Ofisi ya Chama kata ya KABINDI Lililo gharimu shilingi Million 3
wananchi wa Kata ya KABINDI wakisililiza kwa Makini mara baada ya kuzindua Jengo la ofisi ya chama katika kata Iyo. MAELEZO NA PICHA NA MPIGAPICHA WA UVCCM
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.