Tuesday, December 20, 2016

SHAKA HAMDU SHAKA AZINDUA KAMPENI YA JOGGING UVCCM MKOANI KAGERA

 Kaimu katibu mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (M-NEC)  wa tatu kulia akiongoza zoezi la jogging wilaya karagwe pamoja na Viongozi Mbali mbali wa chama na Serikali
 Kaimu katibu mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka wa katikati akiendeleza zoezi la jogging pamoja na Mwenyekiti wa UVCCM  Wa Uvccm Mkoa wa Karagwe Yahaya Kateme wa kwanza kushoto.
 Kaimu katibu Mkuu Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Taifa Shaka Hamdu Shaka akiruka Mchaka mchaka katika viwanja vya CCM Wilaya ya karangwe leo.
 Kaimu katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka wa pili kulia akiendelea na Zoezi la Unyooshaji wa Viungo pamoja na Mkuu wa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe  Godfrey Ayub  Mheluka
 Katibu UVCCM Mkoa wa Kagera Ndg:Didas Zimbile akiongoza Zoezi la Unyooshaji wa Viungo katika Viwanja vya CCM Wilaya ya Karagwe mapema leo.
 Kijasho chembamba kikimtiririka Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Yahya Kamteme katika zoezi la unyooshaji wa Viungo Vya Mwili katika Viwanja Vya CCM Wilaya ya Karagwe
Kaimu katibu Idara ya Hamasa,Sera,Utafiti na Mawasiliano Ndg Mtemi Slyvester Yaredi akiendelea na zoezi la kunyoosha viungo
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.