MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MKE WA MWANZILISHI WA TAIFA LA SUDAN KUSINI REBECCA NYANDENG DE MABIOR ILIYEAMBATANA NA UJUMBE WAKE IKULU, DAR ES SALAAM

 . Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, akisalimiana na mke wa mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini, Rebecca Nyandeng De Mabior aliyefika pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, akizungumza na mke wa mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini, Rebecca Nyandeng De Mabior aliyefika pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo hayo, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Picha na Ikulu