LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 31, 2016

LINDI WAFANYA USAFI LEO KUITIKA MWITO WA RAIS DK. JOHN MAGUFULI


Wakazi wa mji wa Lindi wakifanya usafi wa mazingira katika mitaa na barabara  zinazozunguka hospitali ya mkoa huo Desemba 31, 2016. Walifanya hivyo kuitikia agizo la  Rais John Pombe Mgufuli la kuwataka watanzania kutumia muda wa asubuhi kila Jumamosi kufanya usafi wa mazingira. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages