Tuesday, December 6, 2016

CCM YAOMBOLEZA KIFO CHA MBUNGE WA ZAMANI WAKILWA PROFESA IDRISA MTULIA


ENZI ZA UHAI
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (ushoto) akisalimiana na Profesa Idrisa Mtulia katika mji mdogo wa Ikwiriri wilayani Rufiji akiwa katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana ya kukagua na kuimarisha uhai wa Chama katika mkoa wa Pwani. Picha Maktaba
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.