Monday, November 21, 2016

ZIARA YA MAKONDA WILAYANI TEMEKE LEO

 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akisikilizwa na umati wa wananchi, alipozungumza nao katika eneo la Keko Furniture, akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake wilayani Temeke kukagua, kusikiliza na kutatua kero za wananchi, leo
  Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akikagua hali ya biashara katika soko la Temeke Stereo, akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake wilayani Temeke kukagua, kusikiliza na kutatua kero za wananchi, leo. Kushoto ni Mkuu waWilaya ya Temeke Felix Lyaniva
  Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akimsalimia mfanyabiashara katika soko la Temeke Stereo, Hamdani Shabani, akiwa siku ya kwanza ya ziara yake wilayani Temeke kukagua, kusikiliza na kutatua kero za wananchi
 "Mona hujaenda shule leo?" Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akimhoji mwanafunzi aliyemkuta katika soko la Temeke Stereo, akiwa siku ya kwanza ya ziara yake wilayani Temeke kukagua, kusikiliza na kutatua kero za wananchi, leo
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akisikilizwa na umati wa wananchi, alipozungumza nao katika Soko la Temeke Stereo, akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake wilayani Temeke kukagua, kusikiliza na kutatua kero za wananchi, leo
 Mkazi wa Temeke Stereo akimsikiliza kwa makini, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alipozungumza na wananchi katika eneo la Temeke Stereo, akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake wilayani Temeke kukagua, kusikiliza na kutatua kero za wananchi, leo
 Mfanyabiashara katika soko la Temeke Stereo akiwa kwenye bishara zake katika soko hilo
 Baadhi ya viongozi wakiwa kwenye kikao chao na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, alipozungumza nao katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya temeke leo 
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akipanda mti kwenye Ofisi za Mkuu wa Wiaya ya Temeke mwanzoni mwa ziara hiyo.
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akipata maelezo kuhusu uzalishaji wa vigae vya ujenzi kwenye kiwanda kimoja kilichopo Keko, akiwa katika ziara hiyo.
 Wasanii wa Bendi ya Mwiduka kutoka Mbeya watumbuiza kwenye Viwanja vya shule ya sekondari Tilav, eneo la Lumo Machimbo, kabla ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kzungumza na wananchi, ili kusikiliza na kutatua kero zao, leo
 Baadhi ya wananchi kwenye mkutan huo
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda akizungumza na wananchi kwenye Viwanja vya shule ya ssekondari Tilav, eneo la Lumo Machimbo, kusikiliza na kutatua kero zao, leo
 Mwananchi akiuliza swali
Mwananchi akiuliza swali na kuomba msaada asipoteze ardhi ya urithi wa ardhi kufuatia kesi iliyopo mahakamani. Mkuu wa Mkoa Paul Makonda aliamua kumpatia mwanasheria wa jiji la Dar es Salaam, ili kusimamia kesi hiyo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-CCM Blog
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.