Tuesday, November 22, 2016

ZIARA YA MAKONDA MBAGALA, YATIA FORA LEO, MIKUTANO YAKE YA HADHARA ILIYIOJAA MASWALI NA MAJIBU YATIKISA

 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akishiriki ujenzi wa uzio washule ya Msingi Kiburugwa, akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza na kutatua kero za ananchi katika wilaya ya Temeke. Msimamizi na Mwendeshaji Mkuu wa Blog rasmi ya CCM, Taifa, Official CCM Blog, Bashir Nkoromo alikuwepo katika ziara hiyo na zifuatazo ni picha kem kem za matukio yaliyojiri katika taswira mbalimbali.
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akisalimia wananchi alipowasili katika shule ya Msingi Charambe, Mbagala, alipokuwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza na kutatua kero za ananchi katika wilaya ya Temeke
 Wananchi wakipokea kwa shauku Makonda alipowasili Shule ya Msingi Charambe, kuzindua vyumba vinane vya madarasa, vikiwemo vitano vilivyojemgwa na serikali
 Mkuu wa wilaya ya Temeke, Hashim Mgandirwa akimkaribisha Makonda kuzungumza na wananchi katika shule ya Msingi Charambe
 Wananchi wakimsikiliza kwa makini Makonda katika shule ya msingi Charambe
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wananchi katika shule ya msingi Charambe, kabla ya kuzindua vyumba vinane vya madarasa katika shule hiyo.
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akipata maelekezo kutoka kwa wanafunzi, kabla ya kukata utepe kuzindua rasmi marasa matano kati ya manane aliyozindua katika shule hiyo leo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akikata utepe kuzindua rasmi madarasa matano kati ya manane aliyozindua leo katika shule hiyo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizindua rasmi madarasa matano kati ya manane aliyozindua leo katika shule hiyo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizindua rasmi madarasa matano kati ya manane aliyozindua leo katika shule hiyo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa darasani na baadhi ya wanafunzi baada ya kuzindua rasmi madarasa matano kati ya manane aliyozindua leo katika shule hiyo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa darasani na baadhi ya wanafunzi baada ya kuzindua rasmi madarasa matano kati ya manane aliyozindua leo katika shule hiyo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa darasani na baadhi ya wanafunzi baada ya kuzindua rasmi madarasa matano kati ya manane aliyozindua leo katika shule hiyo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akisaini juu kwa juu, kitabu cha wageni, ili kuendele na shughuli zingine, baada ya kuzindua rasmi madarasa matano kati ya manane aliyozindua leo katika shule hiyo ya Charambe
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiteta jambo na baaadhi ya wanafunzi wakati akiondoka, baada ya kuzindua rasmi madarasa matano kati ya manane aliyozindua leo katika shule hiyo ya Charambe
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akisalimiwa na badhi ya wananfuzi wakati akiondoka, baada ya kuzindua rasmi madarasa matano kati ya manane aliyozindua leo katika shule hiyo ya Charambe
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara aliofanya kwenye soko jipya la Charambe, Mbagala. Katika mkutano huo, baahi ya wananchi walitaka eneo la soko hilo ambalo awali lilikuwa kiwanja cha michezo cha shule ya Charambe, lirejeshwe kwenye matumizi ya zamani, jambo ambalo Makonda hakuliunga mkono. Pia kufuatia madai mbalimbali, Makonda aliagiza Ofisa Biashara wa wilaya pamoja na timu yake, Ijumaa wiki hii wampatie tathmini ya gharama za ujenzi wa soko hilo, gharama za vizimba na mabo kadhaa muhimu ili kulifanya soko kuendeshwa katika misingi bora.
Baadhi ya bei za mchele katika soko hilo
Mkuu wa wilaya ya Temeke, Hashim Mgandilwa akimkaribisha Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, alipotembelea Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamanzi, Mbagala akiwa katika ziara hiyo.
Baadhi ya viongozi waliofuatana na Makonda alipotembelea Uwanja huo wa Azam Complex, Camanzi.
Makonda akizungumza kwenye ukumbi wa Uwanja huo
Makaonda akitoka baada ya kutembelea uwanja wa Azam Comlex, Chamanzi, Mbagala Dar es Salaam. Kushoto ni timu ya Vijana vya Simba wakifanya mazoezi
Badhi ya waandishi wa habari waliokuwa kwenye Msafara wa Makonda wakisukuma basi lao kulinasua kwenye mchanga, katika eneo la Chamanzi, Mbagala
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akishiriki ujenzi wa uzio washule ya Msingi Kiburugwa, akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza na kutatua kero za ananchi katika wilaya ya Temeke.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akishiriki ujenzi wa uzio washule ya Msingi Kiburugwa, akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza na kutatua kero za ananchi katika wilaya ya Temeke.
Wananfunzi wakishangilia Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aliposhiriki ujenzi wa uzio washule ya Msingi Kiburugwa, akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza na kutatua kero za ananchi katika wilaya ya Temeke.
Mkuu wa wilaya ya Temeke, Hashim Mgandirwa, akiwaandaa wananfunzi kabla ya  Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akishiriki ujenzi wa uzio washule ya Msingi Kiburugwa, akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza na kutatua kero za ananchi katika wilaya ya Temeke.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wanafunzi baada ya kushiriki ujenzi wa uzio washule ya Msingi Kiburugwa, akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza na kutatua kero za ananchi katika wilaya ya Temeke. Makonda aliwaambia wananfunzi hao kwamba ili waweze kufaulu masomo na maisha yote kwa jumla jambo la muhimu kao ni kuwa wasikivu, kwa walimu, wazazi na viongozi wao wa dini. Aliwafunda kuachana na ushauri wa kuwapotosha watakaopewa na watu wenye lengo la kutaka kuwaharibia matumanini yao ya baadaye.


Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Makonda akiondoka kwa kasi kwenda kwenye shughuli nyingine, baada ya kuzindua ujenzi wa zahanati katika eneo la Mbagala Kuu, akiwa katika ziara hiyo. 
Bendi ya muziki wa dansi ikitumbuiza kuchangamsha wananchi waliomsubiri ka mda mrefu, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, katika uwanja wa Mbagala Zakhem, kwa ajili ya kuwahutubia lakini pia kusikiliza na kuzipatia majawabu kero za wananchi.
Baadhi ya waalikwa wakiwa katika uwanja wa Mbagala Zakhem, kwa ajili ya Makonda kuhutubia na pia kusikiliza na kuzipatia majawabu kero za wananchi.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika uwanja wa Mbagala Zakhem, kwa ajili ya Makonda kuhutubia na pia kusikiliza na kuzipatia majawabu kero za wananchi.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Alex Mgandirwa akimkaribisha Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuzungumza na wananchi, ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero na kuzitafutia ufumbuzi, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mbagala Zakhem leo
Sehemu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiuangalia umati wa wananchi kabla ya kuanza kuwahutubia katika mkutano wa hadhara aliofanya kwa ajili ya kusikiliza na kuzipatia ufumbuzi kero mbalimbali, mwishoni mwa ziara yake ya siku mbili katika wilaya ya Temeke.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akihutubia mamia ya wananchi, katika mkutano wa hadhara aliofanya kwa ajili ya kusikiliza na kuzipatia ufumbuzi kero mbalimbali, mwishoni mwa ziara yake ya siku mbili katika wilaya ya Temeke. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-CCM BLOG
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.