LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 1, 2016

RAIS DK. MAGUFULI KATIKA DHIFA YA ALIYOANDALIWA NA RAIS UHURU KENYATTA NCHINI KENYA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi.
 Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akizungumza katika dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Ikulu ya Nairobi. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akigonganisha glass na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na Mke wa Rais wa Kenya Mama Margaret Kenyatta katika dhifa hiyo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo huku akiwa amewashika mikono kwa pamoja Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, Naibu Rais wa Kenya William Ruto na Mke wa Rais wa Kenya Mama Margaret Kenyatta katika dhifa hiyo ya kitaifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mabalozi mbalimbali wa Kenya waliohudhuria katika dhifa hiyo ya Kitaifa. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages