LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 29, 2016

PICHA RASMI YA MWENYEKITI WA CCM, DK. JOHN MAGUFULI

Picha rasmi ya Ndugu John Pombe Magufuli, Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi
Watumishi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, wakitazama picha rasmi ya Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli, leo. Kutoka kulia ni Msaidizi wa Mkuu wa Utawala Ndugu Mwajuma Nyamka, Mwangalizi wa Ofisi Rose Francis, Katibu wa CCM wilaya ya Liwale, Raphael Maumba na Mlinzi Mkuu wa Chama, Donald Bura.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages