JK AKUTANA NA CROWN PRINCE WA ABDUDHABI

 Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Crown Prince wa Abudhabi na Naibu Kamanda Mkuu wa Majeshi ya UAE  Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan katika makazi yake jijini Abudhabi
 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ambaye ni Mjumbe Maalum wa AU kwa Libya, akiwa katika mazungumzo na Crown Prince wa Abudhabi Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan. Kulia ni Waziri wa Nchi  H.H.Reem Al Hashimy.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ambaye ni  Mjumbe Maalum wa AU kwa Libya, akiagana na Crown Prince wa Abudhabi Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan.

0 comments:

Post a Comment

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.