DC HAPI AUNGURUMA KATA YA MSASANI LEO, ATAKA MALIPO YOTE YAFANYWE KWA MASHINE ZA ELEKTRONIC, ACHACHAMAA WANAFUNZI KUPEWA ADHABU YA KUFUNGIWA GETI WAKICHELEWA

 Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ali Salum Hapi, akipokea salm za vijana wa vikundi vya ulini shirikishi, alipowasili kwenye Ofisi ya Mtendaji Kata ta Msasani, kwa ajili ya kufanya ziara ya kukagua utekelezaji ilani ya CCM na kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika kata hiyo.. Kushoto ni Meya wa Manispaa ya Kinondo Benjamin Sitta.
 Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ali Salum Hapi, akikagua vijana wa vikundi vya ulini shirikishi, alipowasili kwenye Ofisi ya Mtendaji Kata ta Msasani, kwa ajili ya kufanya ziara ya kukagua utekelezaji ilani ya CCM na kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika kata hiyo
 Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ali Salum Hapi, akisindikizwa na Meya wa Manistaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta kwenda ukumbini.
 Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Ali Salum Hapi, akijadili jambo na Meya wa Manistaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta baada ya kuwsili ukumbini.
 Hapi akisaini kitabu
 Ofisa Mtendaji Kata ya Msasani,  Ramadhani Masisenga akitoa maelezo kumkaribisha Hapi kuzungumza naviongozi wa Kata hiyo
 Ofisa Tarafa wa Wilaya ya Kinondoni,  Stela Nsofe, akitambulisha baadhi ya viongozi waliofuatana na Hapi
 Baadhi ya waalikwa na viongozi wakiwa kwenye kikao hicho
  Baadhi ya waalikwa na viongozi wakiwa kwenye kikao hicho 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ali Salum Hapi akizungumza na watendaji wa kata ya Msasani, wakati wa ziara hiyo. Hapi aliagiza kwamba ni marufuku upokeaji wa fedha kutoka kwa wananchi kwa kutumia njia ya kizamani badala yake lazima kutumia mashine za kielektronic. Kulia ni Meya wa Manispaa ya Kinondoni Benjamin Sitta
Hapi akisisitiza kila mtendaji kuhakikisha anajituma katika kuwatumikia wananchi kazika utendaji wake wa kazi
Hapi akizsisitiza jambo
Hapi akifafanua jambo wakati wa kikao hicho
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ali Salum Hapi akimsikiliza kwa makini, mkazi wa Msasani, ambaye alikuwa akimlalamikia dhidi ya vijana wa ulinzi Shirikishi ambao alisema walinyanyasa kwa kumtia ndani mtoto wake kumshinikiza kutoa rushwa. Hapi alimwahidi kulifuatilia suala hilo na kulichukulia hatua
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Salum Hapi akizindua trekta la kuzoa taka katika Kata ya Msasani, wakati wa ziara yake katika Kata hiyo. Kulia ni Diwani wa Kata hiyo, ambaye pia ni Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamni Sitta.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)

0 comments:

Post a Comment

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.