MAKAMU WA RAIS WA CUBA AWASILI NCHINI LEO JIONI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdes Mesa akishuka katika Ndege mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (JNIA) leo Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Hassan Suluhu akimwongoza mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdes Mesa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (JNIA) leo Jijini Dar es Salaam