Tuesday, October 4, 2016

KINANA AONGOZA KIKAO CHA SEKRETARIETI MJINI DODOMA, LEO

 Mwenyekiti wa Sektreterieti ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiongoza kikao cha Sekretarieti ya Chama, mjiniDodoma leo
 Wajumbe wakiwa ukumbini kabla ya Katibu Mkuu wa CCM kuwasili kuongoza kikao hicho
 Wajumbe wakiwa ukumbini
 Wajumbe wa Sekretarieti, Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Katibu wa NEC Uchumi na Fedha zakia Meghji wakijadili jambo kabla ya kikao kuanza
 Kaimu Katibu Mkuu wa CCM, Shaka Hamidu Shaka akiweka kablasha lake vizuri kabla ya kikao kuanza. Kulia ni Katibu wa Jumuia ya Wazazi, SeifShaban Mohammed
 Wajumbe wakipotia kabrasha kabla ya kikao kuanza
 Katibu wa NEC,Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kabla ya kikao hicho kuanza
 Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, wakiwa kwenye kikao hicho,kulia ni Katibu Mkuu Jumuia ya Wanawake Tazania (UWT) Amina Makilagi
 Katibu Msaidizi Mkuu wa Idara ya Itikadi na uenezi, Ndugu Lomuri akimshauri jambo Katibu wa NEC, Itikadi a uenezi Nape Nnauye kabla ya kikao kuanza
 Katibu wa NEC, Siasa na ushirikiano wa Kimataifa, Dk.PindiChana akishauriana jambona Katibu wa NEC Oganaizesheni Mohamed Seif Khatib kabla ya kikao hicho kuanza
 Wajumbe wakiwa ukumbini kabla ya kikao hicho kuanza 
 Maofisa wa Chama wakiwa katika ukumbi kabla ya kikao kuanza. Kushoto ni Ofisa katika Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM, Taifa, Selemani Mwenda
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiingiaukumbini kabla ya kikao kuanza
 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiingiaukumbini kabla ya kikao kuanza
 Katibu wa Sekretarieti Anamringi Macha (kulia) akiandaa kablasha kwa baadhi ya wajumbe kabla ya kikao kuanza
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai akisalimia wajumbe alipoingiaukumbini 
 Wajumbe wakisalimiana kabla ya kuingia ukumbini, ni Katibu wa Jumuia ya Wazazi Seif Shaban Mohamed na Katibu Mkuu UWT Amina makilagi
 Wajumbe wakiwa na makabrasha yao wakati wakiingia ukumbini 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Rajab Luhwavi akisalimiana na baadhi ya wajumbe nje ya ukumbi
 Msaidizi wa Katibu Mkuu wa CCM na msaidizi wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM wakiwa katika Ofisi ya Katibu Muhtasi wa Katibu Mkuu wa CCM kabla ya kikao kuanza
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Rajab Luhwavi kishauriana jambo na Katibu wa NEC Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib njeya ukumbi
Katibu wa NEC Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa Dk. Pindi Chana akifanya maandalizi ya mwsho na wasaidizi wake kabla ya kuingia ukumbini. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.