LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 20, 2016

KINANA AKUTANA NA BALOZI SUDAN,OFISI NDGO YA MAKAO MAKUU YA CCM LUMUMBA, DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake, Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, Alhamisi, Oktoba 20, 2016, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
  Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, akifafanua jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi,baada ya mazngumzo yao yaliyofanyika leo katika  Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages