SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI ATEMBELEA OFISI ZA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

   Spika wa Bunge, Job Ndugai akiwasili katika Bandari  ya  Zanzibar alipofanya ziara ya kutembelea Baraza la Wawakilishi leo Septemba 26, 2016.
 Spika wa Bunge Job Ndugai akilakiwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuberi Ali Maulid, alipowasili katika Ofisi za Baraza hilo, leo. Kushoto ni Naibu Spika wa Baraza hilo Mgeni Hassan Juma
 Spika wa Bunge Job Ndugai akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuberi Ali Maulid, alipowasili katika Ofisi za Baraza hilo, leo. Kushoto ni Naibu Spika wa Baraza hilo Mgeni Hassan Juma
  Spika wa Bunge Job Ndugai (wa tatu toka kulia) akifuatilia kikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati alipowatembelea. Wapili kulia ni Spika wa Baraza hilo Mhe Zuberi Ali Maulid na wa kwanza kulia ni Naibu Spika wa Baraza hilo, Mgeni Hassan Juma.
 Spika wa Bunge Job Ndugai kiwasalimia Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar alipotambulishwa wakati wa kikao cha Baraza hilo
 Spika wa Bunge Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zuberi Ali Maulid (kulia) na Naibu Spika wa Baraza hilo Mgeni Hassan Juma.
Spika wa Baraza la Wawakilishi  Zuberi Ali Maulid akimuelezea jambo Spika wa Bunge Job Ndugai wakati wa ziara hiyo. Picha na Ofisi ya Bunge

0 comments:

Post a Comment

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.