Thursday, September 8, 2016

RAIS WA UGANDA MHE YOWERI KAGUTA MUSEVENI AWASILI NCHINI KUHUDHURIA MKUTANO WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Mgeni wake, Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni, alipowasili Ikulu Dar es salaam jana jioni Septemba 7, 2017   tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hii leo .

Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mkono na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni  alipowasili Ikulu Dar es salaam jana jioni Septemba 7, 2017 tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hii leo.
 
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiwa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt Augustine Mahiga na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Plilip Mpango mara mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam jana, tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hii leo. 
 
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam jana jioni  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hii leo.
PICHA NA IKULU 
 
Mawasiliano ya aliyeandaa taarifa hii 0713 311 300
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.