RAIS DK. MAGUFULI APOKEA MSAADA WA SH. MILIONI 545 KUTOKA SERIKALI YA INDIA KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI LILILOTOKEA MKOANI KAGERA

 Rais Dkt. John Magufuli akimshukuru Balozi wa India hapa nchini Sandeep Arya baada ya kupokea mfano wa hundi ya Sh. milioni 545, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Msaada huo umetolewa na Serikali ya India kwa ajili ya kuwasaidia  waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera. Kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na kulia ni Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje Balozi Dk. Aziz Mlima 
 Rais Dk. John Magufuli, Balozi wa India hapa nchini Sandeep Arya na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakitazama mfano wa hundi hiyo 
 Rais Dk. John Magufuli akimshukuru Balozi wa India hapa nchini Sandeep Arya baada ya kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya Sh milioni 545, Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais Dk. John Magufuli akizungumza na  Balozi wa India hapa nchini Sandeep Arya baada ya kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya Sh milioni 545, Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na kulia ni Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje Balozi Dk. Aziz Mlima
 Rais Dk. John Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mfano wa hundi hiyo .
CHINI: 
Rais Dk. John Magufuli akijadiliana jambo na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa baada ya kupokea msaada wa fedha hizo0 comments:

Post a Comment

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.