Tuesday, September 13, 2016

NUKUU ZA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI-05


Na Nassir Bakari


Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli, ni kiongozi ambaye watanzania tulikuwa tunamsubiri kwa muda mrefu.Mara nyingi anapohutubia huwa anatoa kauli za kufurahisha kwa wapenda maendeleo na kuchukiza wasiopenda maendeleo. Mtandao huu unakuletea Nukuu za Rais, ambazo zinafurahisha wengi na kuchukiza wachache.

NUKUU
"Tunataka kulifanya jiji la Dar es  Salaam, mtu anapotelemka asione tofauti na jiji lingine la Ulaya  ndio maana tunajitahidi kila mahali kugusa na ndani ya nchi za Afrika Mahariki amna nchi nyingine yenye gari za mwendokasi zaidi ya nchi yetu."
 
MAANA YAKE
Jiji la Dar es Salaam litakuwa jiji la kibiashara na jiji la kuigwa.

Maneno hayo alisema Magomeni, alipowatembelea wakazi waliokuwa wakiishi magomeni kota. Jumanne,06 Septemba, 2016. 
MUANDAAJI. NASSIR BAKARI OFISI NDOGO ZA CCM LUMUMBA 
PHONE NO:0713 311 300 EMAIL: nassiribakari@gmail.comShare:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.