NUKUU ZA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI-03

NA NASSIR BAKARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Mheshimiwa John Pombe Magufuli ni kiongozi ambaye watanzania tulikuwa tunamsubiri kwa miaka mingi.
Mara nyingi anapohutubia huwa anatoa kauli ambazo zinafurahisha kwa wapenda maendelo na zinachukiza kwa wasiopenda maendeleo, mtandao huu unakuletea Nukuu za Rais ambazo zinawafurahisha wengi na kuwachukiza wachache.
 
NUKUU

"Wapangazi wote wa serikali, wizara ya ujenzi wizara gani kule ndani ya siku saba lazima wawe wameshalipa madeni yao, wasipolipa endelea kuwatoa nje kama ulivyomtoa yule jamaa, usiogope kumtoa nje mtu yoyote awe amepangishwa wa Ccm mtoe nje, awe wa  Ukawa mtoe nje awe Serikali mtoe nje awe Waziri mtoe nje awe mpangaji huyo ni Rais mtoe nje."

MAANA YAKE

 Kila raia wa Tanzania bila kujali dini, kabila, chama au cheo chake, ana wajibu wa kulipa kodi stahiki kwa wakati.

Maneno hayo alikuwa akimwambia mkurugenzi wa shirika la nyumba la Taifa (NHC) Mheshimiwa Nehemia, pale Magomeni, alipowatembelea wakazi waliokuwa wakiishi magomeni kota. Jumanne,06 Septemba, 2016. 

MUANDAAJI.
NASSIR BAKARI

OFISI NDOGO ZA CCM,
LUMUMBA.
PHONE:0713 311 300
EMAIL.nassiribakari@gmail.com

0 comments:

Post a Comment

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.