Tuesday, September 6, 2016

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO, SEPT. 6, 2016

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiingia kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kuendesha mkutano wa nne (4) wa  bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai Akiwaongoza Wabunge wa kuimba wimbo wa Taifa wakati wa mkutano wa nne (4) wa  bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika ukumbi wa bunge wakati wa mkutano wa nne (4) wa  bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.