Tuesday, September 6, 2016

AUGUSTINE MREMA KUKUTANA NA KAMISHNA MKUU WA JESHI LA MAGEREZA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

AUGUSTINE MREMA
MWENYEKITI WA BODI YA MISAMAHA KWA WAFUNGWA (PAROLE), MHE. AUGUSTINO MREMA ATAKUTANA NA KAMISHINA MKUU WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI.

TAREHE: 6. 09. 2016
MUDA:    SAA 4:00 ASUBUHI.
MAHALI: MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA.

WAANDISHI WA HABARI NA WAPIGA PICHA MNAKARIBISHWA.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.