WAZIRI MKUU MAJALIWA KASIMU MAJALIWA APOKEA MADAWATI TOKA KWA BALOZI WA KUWAIT NCHINI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al Najem wakiwa wamekalia madawati mawili kati ya 50 yaliyotolewa na Kuwait na kukabidhiwa kwake na balozi huyo jijini Dar es salaam Agosti 17, 2016.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)