MOI YAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZAKE

Meneja ustawi wa Jamii na Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya fahamu (MOI) Bw. Jumaa  Almasi akionesha kwa waandishi wa habari  moja ya skruu zinazotumika kufungia  kipandikizi cha sainal kunapokuwa ndani ya mfupa. Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Taasisi hiyo Bw. Patrick Mvungi.