MAADHIMISHO MIAKA MITANO YA SHULE YA LITTLE TREASURES YALIVYOTIA FORA


Hapa ni katika shule ya msingi Little Treasures iliyopo eneo la Bugayambelele katika manispaa ya Shinyanga ambapo leo Jumamosi, Agosti 13, 2016 kumefanyika sherehe ya maadhimisho ya miaka Mitano tangu kuanzishwa shule hiyo Julai mwaka 2011. KWA PICHA KEM-KEM ZA MAADHIMISHO HAYO>>GONGA HAPA