BI SHAKIRA ALIKUWA MIONGONI MWA WASANII MAHIRI WALIOKUWEPO DODOMA WAKATI WA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM, JULAI 23, 2016

 Aliyekuwa msanii mahiri wa Taarab, marehemu Shakila Said wakati wa uhai wake akipongezwa na Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati wa Tamasha la wasanii kumuaga Kikwete usiku baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa chama hicho, mjini Dodoma Julai 23, mwaka huu.
 Shakila akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Abdulrahman Kinana
Akitafakari jambo