LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 13, 2016

WAKURUGENZI WATENDAJI WA HALMASHAURI, MIJI, MANISPAA NA MAJIJI 185 WALA VIAPO VYA MAADILI LEO IKULU

Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Miji, Manispaa na Majiji 185 wakila  kiapo cha maadili ya viongozi leo Julai 12, 2016 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wakuu wa wilaya za Kongwa Mhe deo Ndejembi (kushoto), Siriel Shaidi Mchembe (DC Gairo) na Mhe. Geoffrey Idelphonce Mwambe (DC Manyoni) wakila  kiapo cha maadili ya viongozi leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukosa kufanya hivyo na wenzao wiki iliyopita.
Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Miji, Manispaa na Majiji 185 wakila  kiapo cha maadili ya viongozi leo Julai 12, 2016 Ikulu jijini Dar es salaam.
Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Miji, Manispaa na Majiji 185 wakila  kiapo cha maadili ya viongozi leo Julai 12, 2016 Ikulu jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Miji, Manidpaa na Majiji 185 wakipata maelezo ya awali kabla ya kula kiapo cha maadili ya viongozi leo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Miji, Manidpaa na Majiji 185 kabla ya hawajakula kiapo cha maadili ya viongozi leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Miji, Manispaa na Majiji 185 wakila  kiapo cha maadili ya viongozi leo Julai 12, 2016 Ikulu jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages