WAKURUGENZI WAPYA WAFUNDWA

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza katika Mkutano ulioitishwa  na Rais John Magufuli kwa Wakurugenzi wa Halmashauri zote za wilaya na baadhi ya Wakuu wa  wilaya  Ikulu jijini Dar es salaam Julai 12, 2016.