Tuesday, July 26, 2016

KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NAPE NNAUYE AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA CCM NDANI YA IDARA YAKE YA UENEZI

 Katibu wa NEC, Nape Nnauye akizungumza na watumishi wa CCM waliopo chini ya Idara yake, alipokutana nao leo Makamo Makuu ya CCM mjini Dodoma. Nape amewataka watumishi hao kuwa na mpango kazi na pia kuhakikisha kila mmoja anawajibika katika eneo lake la kazi na pia kuwahi na kuwepo eneo lake la kazi kila siku za kazi.
Katibu wa NEC, Itikati na Uenezi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa CCM waliopo chini ya idara yake baada ya kuzungumza nao leo katika Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.