LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 8, 2016

CHONGOLO KATIKA EID EL FITRI

 Mkuu wa wilaya ya Longido  Daniel Chongolo (wa tatu kulia) akikabidhi zawadi za Idd kwa Masheikh wa misikiti ya mji wa Namanga na Longido mjini wilayani Longido leo,mkoani Arusha. Mh Chongo amekabidhi  zawadi hizo kwa misikiti 6 iliyopo wilayani Longido mapema Leo.
 Mkuu wa wilaya ya Longido mkoani Arusha Bw. Daniel Chongolo akikabidhi zawadi za sikukuu ya Idd kwa Masheikh wa Misikiti ya Namanga na Longido mjini leo. Mkuu huyo wa wilaya pia ametumia nafasi hiyo kujitambulisha kwao.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages