Wednesday, June 15, 2016

YALIYOJIRI LEO OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU YA CCM, LUMUMBA JIJINI DAR ES ASALAAM

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa Korea Song Geum-Yung, Ofsni kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba ijini Dar es Salaam, leo Juni 15, 2016. 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Korea Song Geum-Yung, Ofsni kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba ijini Dar es Salaam, leo Juni 15, 2016. 
Mweneyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya shughuli zake za kiofisi, leo Juni 15, 2016.
 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akimsindikiza Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwenda Ofisini kwake, alipowasili leo kuendelea na kazi zake za kawaida katika Ofisi yake iliyopo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Pindi Chana.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimkaribisha ofisini kwake, Katibu Mkuu wa CCM, Abdurlahman Kinana kwa ajili ya mazungumzo, leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana, Ofisini kwake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Picha zote na Bashir Nkoromo
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.