LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 22, 2016

WAZIRI PROFESA MBARAWA AFUNGUA MKUTANO WA 19 WA USAFIRI WA NGANGA NCHI ZA SADC, LEO

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akifungua mkutano wa 19 wa  Usafiri  wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Dar es Salaam jana (leo).

 Mkurugenzi Mkuu wa  Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) Bwana Hamza  Johari akifafanua jambo katika mkutano wa 19 wa  Usafiri  wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Dar es Salaam jana (leo).

 : Mkuu wa oganaizesheni ya Usafiri wa Anga kwa nchi za SADC Bwana Geofrey Moshabesh akitoa taarifa ya utekelezaji wa masuala ya usalama wa anga kwa wajumbe wa mkutano wa  19 wa  Usafiri  wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Dar es Salaam jana (leo).

Wajumbe wa  Mkutano wa 19 wa  Usafiri  wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)  wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa. (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo).

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages