Sunday, June 26, 2016

THE SILOAM CHURCH LAWATIA BARAKA WAANDSHI WA HABARI KUBARIKI KAZI ZAO ZA KILA SIKU

 Wakili wa Mungu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya akiendesha sala maalum ya kuuombea amani tanzania na pia kuwatia baraka Waandishi wa habari, ambao walihudhuria kwenye ibada iliyoongozwa na kiongozi huyo wa The Siloam, leo katika Kanisa hilo, Mbezi Beach, eneo la Makonde Dar es Salaam..
 Baadhi ya waumini na Waandishi wa habari wakiwa kweye ibada hiyo.
 Waumini walifanya Ingagement ya ndoa wakitekeleza nadhiri hiyo wakati wa ibada hiyo

 wakiwa wametuzwa vitenge
  Wakili wa Mungu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya akiendesha sala maalum ya kuuombea amani tanzania na pia kuwatia baraka Waandishi wa habari, ambao walihudhuria kwenye ibada iliyoongozwa na kiongozi huyo wa The Siloam, leo katika Kanisa hilo, Mbezi Beach, eneo la Makonde Dar es Salaam..
  Wakili wa Mungu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya akiombea mafuta maalum kabla ya kuwakapa mafuta vichwani kuwatia baraka 
 Akiwaombea baada ya kuwapaka mafuta
 Mmoja wa waandishi wa habari waliohudhuria ibada hiyo,Absalom Kibanda akionyesha furaha baada ya kupakwa mafuta
 Mmoja wa waandishi wa habari waliohudhuria ibada hiyo, Said Hamis akitafakari baada ya kupakwa mafuta

 Waumini wakipakwa mafuta
Baadhi ya waumini wakimshangilia Wakili wa Mungu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya baada ya misa. 
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.